Mada zilizoorodheshwa
ELIMU 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Wanafunzi Watoa Elimu ya Vipimo na Uwekezaji wa WMA

Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Wanafunzi Watoa Elimu ya Vipimo na Uwekezaji wa WMA · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Leo Agosti 7, 2026, Naibu Waziri Londo alishangazwa na ufasaha wa wanafunzi hao walipomweleza umuhimu wa vipimo sahihi, kuandika kwa usahihi vifungashio katika bidhaa zilizofungashwa pamoja na madhara ya lumbesa.
  • Dennis Londo, katika banda la Wakala wa Vipimo (WMA), kwenye Maonesho ya 33 ya Wakulima Nane Nane, Dodoma.
  • Wanafunzi wa Klabu ya Vipimo (Vipimo Club) kutoka Shule ya Msingi Mtemi Mazengo ya jijini Dodoma, wamegeuka walimu kwa siku moja baada ya kumpa elimu ya vipimo Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.
  • Wanafunzi hao walikuwa katika ziara iliyoratibiwa na Wakala wa Vipimo ikiwa ni sehemu ya mpango wa elimu ya vipimo kwa vitendo.
  • Naibu Waziri Londo ameonesha kufurahishwa na namna wanafunzi hao walivyojengewa uelewa mpana katika masuala ya vipimo na umahiri wao wa kutoa elimu hiyo kwake na kwa wananchi mbalimbali waliotembelea banda.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Wanafunzi Watoa Elimu ya Vipimo na Uwekezaji wa WMA

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.