Wanafunzi Wanaelekezwa Kuhusu Maisha Nchini India na Mkurugenzi wa GEL
Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Wanafunzi Wanaelekezwa Kuhusu Maisha Nchini India na Mk… · imesasishwa 9 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Jiulize unasoma kwaajili ya GPA nzuri tu au unakwenda kuhamisha maarifa ya kuchukua telnolojia na fursa za viwanda zinazopatikana kule kuleta hapa Tznania,” alisema Mollel Alisema kila mwaka wanafunzi zaidi ya 800.
- DAR ES SALAAM: Mamia ya wanafunzi wanatarajia kwenda masomoni kwenye vyuo vikuu mbalimbali nchini India kuanzia wiki ijayo kupitia Wakala wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL).
- Wanafunzi hao na wazazi wao walihudhuria mkutano uliofanyika katika ofisi za GEL mwishoni mwa wiki kwaajili ya kupewa mafunzo ya namna ya kuishi nchini humo.
- Mbali na mafunzo hayo walipewa tiketi zao za ndege, visa na nyaraka mbalimbali zitakazowawezesha kupokelewa kwenye vyuo wanavyokwenda kusoma nchini India.
- Akizungumza kwenye mkutano huo wa wanafunzi na wazazi wao, Mkurugenzi Mkuu wa GEL, Abdulmalik Mollel aliwataka wanafunzi hao kusoma huku wakiangalia fursa mbalimbali ambazo zinaweza kuwasaidia wanapohitimu.