Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Wales Becomes First Country to Withdraw Support for Gianni Infantino's FIFA Presidential Bid in 2027

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Wales Becomes First Country to Withdraw Support for Gia… · masasisho 2027 · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • Katika taarifa yake, Chama cha Soka cha Wales (FAW) kimeeleza kuwa hakivutiwi na utendaji kazi wa hivi karibuni wa kiongozi huyo, hivyo hakitokuwa upande wake ifikapo mwaka 2027.
  • CARDIFF, Wales WALES imekuwa nchi ya kwanza kutangaza kutokumuunga mkono Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, katika mpango wake wa kuwania tena kiti hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwakani.
  • Hilo ni pigo jingine kwa Infantino, ambaye hivi karibuni alikosolewa vikali kwa mpango wake wake wa kuuza hisa za michuano yote ya FIFA.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Wales Becomes First Country to Withdraw Support for Gia…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.