Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Vozinha's Contract with Colo-Colo Includes Six-Month Initial Term

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Vozinha's Contract with Colo-Colo Includes Six-Month In… · masasisho 2027 · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • Hata hivyo, mwakilishi wake pamoja na viongozi wa Colo-Colo walithibitisha kuwa makubaliano yao yalibaki palepale.Golikipa huyo mwenye umri wa miaka 40 anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kutambulishwa rasmi.
  • GOLIKIPA wa timu ya taifa ya Cape Verde, Josimar José Évora Dias, anayefahamika zaidi kwa jina la Vozinha, amewasili nchini Chile kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na mabingwa wa soka wa nchi hiyo, Colo-Colo, baada.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Vozinha's Contract with Colo-Colo Includes Six-Month In…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.