Visit to Lake Manyara National Park by Dodoma High Court Staff on August 9, 2026
Habari mpya za tourism Tanzania · maelezo ya Visit to Lake Manyara National Park by Dodoma High Cour… · masasisho 2026 · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Na ARAPHA RUSHEKE – Mahakama, DodomaWatumishi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dodoma (IJC), tarehe 9 Agosti, 2026 walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara kwa lengo la kujifunza, kujenga uelewa kuhusu uhifadhi wa.
- Akitoa elimu kwa watumishi hao, Afisa Utalii, Afande Clara Temu, alisema Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara ina ukubwa wa takribani kilomita za mraba 648.7, ambapo kilomita za mraba 386 ni eneo kavu huku sehemu nyingine.
- Joachim Tiganga (wa kwanza kushoto) akiwa na Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe Suleiman Hassan mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Lake Manyara.Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dodoma, Mhe Joachim Tiganga, (wa.
- Stanslaus Makendi na wa pili kulia Afisa Utalii wa Hifadhi ya Lake Manyara, Afande Crala Temu.Watumishi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika hifadhi hiyo.Jaji.
- Ziara hiyo iliongozwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dodoma, Mhe.