Victoria Group's Long-term Plan for Annual Fun Run Events
Habari mpya za events Tanzania · maelezo ya Victoria Group's Long-term Plan for Annual Fun Run Even… · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- BAADA ya zaidi ya miaka 26 ya kujenga urafiki, kusaidiana na kuwekeza pamoja, Victoria Group (VG) sasa imehamishia nguvu zake kwenye mapambano ya kuboresha afya za wanachama wake na jamii kupitia mazoezi ya mwili.
- Alisema Victoria Group ina wanachama 113 ambao pamoja na familia zao wanafikia takribani watu 700, hivyo wameamua kutumia tukio hilo kama jukwaa la kuhamasisha maisha yenye afya na kuimarisha mshikamano.
- Alifafanua kuwa tukio hilo limefunguliwa kwa wananchi wote, marafiki na wadau mbalimbali, ambapo washiriki wasiokuwa wanachama wa Victoria Group watalipa Sh30,000 zitakazowezesha kupata fulana maalumu, namba ya ushiriki.
- Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Victoria Group, Sabasaba Mushingi, alisema kikundi hicho kilianzishwa miaka 26 iliyopita kwa lengo la kuunganisha marafiki katika kusaidiana nyakati za furaha na huzuni, lakini kadri miaka.
- Kwa wale wasioweza kukimbia kilomita 10, alisema waandaaji wameandaa mazoezi ya aerobics yatakayoendeshwa na wakufunzi wa mazoezi, sambamba na burudani ya muziki na shughuli nyingine za kijamii zitakazofanyika Victoria.