Victoria Finance's Call for Entrepreneurs to Utilize Loan Services
Habari mpya za fedha Tanzania · maelezo ya Victoria Finance's Call for Entrepreneurs to Utilize Lo… · imesasishwa 8 Aug 2026 · habari za uchumi · pato la taifa · uwekezaji
Muhtasari
- NA DENIS MLOWE, DAR ES SALAAM VICTORIA Group (VG) imetangaza kuwa mbio za VG Fun Run zitafanyika kila mwaka tarehe 8 Agosti, huku kamati ya maandalizi ikipendekeza mbio hizo kuongezwa kutoka kilomita 10 hadi nusu.
- Kauli hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Victoria Group, Sabasaba Mushingi, wakati akizungumza katika hafla ya kuhitimisha VG Fun Run 2026, iliyoshirikisha wanachama wa kundi hilo, wadau na washirika mbalimbali.
- Mushingi pia alitoa shukrani kwa wadhamini na washirika wa tukio hilo, akiwataja CRDB Foundation, Victoria Group, Victoria Finance, Victoria Insurance Brokers na wadau wengine kwa mchango wao katika kufanikisha mbio.
- Kwa upande wake, Mkuu wa Kitengo cha Ukopeshaji wa CRDB, Musa Lwila, aliyemwakilisha Mkurugenzi wa CRDB Foundation, Tully Mwambapa, alisema CRDB ni mmoja wa wadau wakubwa wa VG Group na Victoria Finance, huku.
- Naye Meneja maendeleo ya biashara Victoria Finance Plc, Dionizi Sabi, alisema Victoria Finance na Victoria Insurance Brokers zitaendelea kuunga mkono juhudi za VG Group katika kuhamasisha afya na ustawi wa jamii.