Victor Osimhen Suggested as Replacement for Robert Lewandowski at Barcelona
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Victor Osimhen Suggested as Replacement for Robert Lewa… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- CATALUNYA, Hispania NI ushauri wa mkongwe Andres Iniesta, akiitaka klabu yake ya zamani ya Barcelona kumsajili straika wa Galatasaray, Victor Osimhen.
- Akimzungumzia Osimhen na sifa zake, lejendari huyo wa Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania alisema: “Ni mfungaji nzuri na ni miongoni mwa walio bora kuziba pengo la Robert Lewandowski.
- Kwa mujibu wa Iniesta, nyota huyo wa kimataifa wa Nigeria ni mtu sahihi wa kuvaa viatu vya Robert Lewandowski aliyeondoka Camp Nou na kutua Chicago Fire ya Marekani.
- Ningependekeza asajiliwe Victor Osimhen,” amesema Iniesta.