Alisema panya hao wamefundishwa kutumia uwezo wao wa kunusa kubaini nyara za Serikali na tayari wameanza kutumika kwa majaribio katika viwanja vya ndege na bandari.
Profesa Chibunda alitoa kauli hiyo wakati Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, alipotembelea banda la SUA katika Maonesho ya 88 ya Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro. Alisema panya hao wamefundishwa kutumia uwezo wao wa kunusa kubaini nyara za Serikali na tayari wameanza kutumika kwa majaribio katika viwanja vya ndege na bandari.