US Decision to Halt Planned Major Attack on Iran
Habari mpya za siasa Tanzania · maelezo ya US Decision to Halt Planned Major Attack on Iran · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za siasa · serikali · sera
Muhtasari
- Kwa mujibu wa Rais Trump, mazungumzo ya pande mbili hizo yanatarajiwa kufanyika leo Agosti 3, 2026, akidai kuwa ndiyo sababu ya Marekani kusitisha shambulizi kubwa ililotarajia kufanya nchini Iran.
- WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema wanatarajia kukaa mezani na viongozi wa Iran kujadili mustakabali wa vita vyao vilivyoanza Febrauri 28, 2026.