UEFA Threatens to Boycott FIFA Events Over Infantino's Leadership
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya UEFA Threatens to Boycott FIFA Events Over Infantino's… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- WASHINGTON, Agosti 11, 2026 — Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa uungwaji mkono kwa Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA), Gianni Infantino, ambaye anakabiliwa na presha kubwa kutoka ndani ya uongozi wa.
- Infantino alimtunuku Trump FIFA Peace Prize ya kwanza mnamo Desemba 2025.
- Kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Trump amesema Infantino ni kiongozi “mzuri sana” na kwamba ameongoza Kombe la Dunia la 2026 ambalo, kwa mujibu wake, limekuwa na mafanikio makubwa zaidi kuwahi kutokea.
- Mpango huo ulipendekeza kuanzishwa kwa kampuni mpya ambayo ingesimamia haki za kibiashara na tiketi za mashindano ya FIFA, yakiwemo Kombe la Dunia, huku asilimia 21 ya kampuni hiyo ikitarajiwa kuuzwa kwa kampuni binafsi.
- Trump amesema itakuwa “kosa kubwa” kwa FIFA hata kufikiria kumuondoa Infantino katika nafasi hiyo, akimtaja kuwa kiongozi aliyefanya vizuri katika kuendesha shughuli za soka duniani.