UCSAF Allocates 2.2 Billion Shillings for Communication Towers in Geita
Habari mpya za teknolojia Tanzania · maelezo ya UCSAF Allocates 2.2 Billion Shillings for Communication… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za teknolojia · uvumbuzi · kidijitali
Muhtasari
- Ameongeza kuwa kwa mwaka wa fedha 2026/27 UCSAF inaendelea na mradi mkoani Geita ambapo maeneo yaliyolengwa ni Hospitali ya Wilaya ya Chato, na Kituo cha Afya cha Katoro.
- Kandonga amesema kwa mwaka wa fedha 2025/26 maeneo mawili yaliingizwa kwenye mradi huu ambayo ni soko la Ushirombo wilayani Bukombe na Hospitali ya Wilaya ya Geita, Nzera.
- Kwa upande wa Mkoa wa Geita, Serikali kupitia UCSAF ilitenga ruzuku ya Sh bilioni 2.2 kwa ajili ya ujenzi wa minara 19 katika kata 17 kupitia mradi wa Tanzania ya Kidigitali.
- GEITA; SERIKALI kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imeanza kutekeleza mradi wa huduma ya intaneti ya bure kwenye maeneo ya wazi ikiwemo masoko na vituo vya afya mkoani Geita.
- Mkuu wa UCSAF Kanda ya Ziwa, Fredy Kandonga alieleza hayo wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya mawasiliano Mkoa wa Geita mbele ya Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC).- Amesema maeneo hayo yanatarajiwa.