Jopo la majaji watatu, likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, linatarajiwa kutoa uamuzi leo, Ijumaa Agosti 21, 2026, kuhusu iwapo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ana kesi ya kujibu katika shauri la uhaini namba 19605/2025.
Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, Agosti 21, 2026 na kusomwa na kiongozi wa jopo la majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, Dunstan Ndunguru kwa niaba ya wenzake Jaji James Karayemaha na Ferdinand Kiwonde. Jaji Ndunguru katika uamuzi huo amesema baada ya kupitia na kuzingatia ushahidi wa upande wa mashtaka na hoja za mshtakiwa wameona ana kesi ya kujibu.