Training for Students on Living in India and Necessary Documentation
Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Training for Students on Living in India and Necessary… · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Wanatarajiwa kuanza kwenda India Agosti 21 na 23 mwaka huu.Akizungumza kwenye mkutano huo, Mkurugenzi Mkuu wa GEL, Abdulmalik Mollel, aliwataka wanafunzi hao kulenga kupata GPA nzuri, lakini pia kutumia muda wao.
- Na Mwandishi WetuWANAFUNZI 85 wanatarajia kwenda kusoma katika vyuo mbalimbali nchini India kuanzia wiki ijayo kupitia Wakala wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL).Wanafunzi hao na wazazi wao walihudhuria.