Mada zilizoorodheshwa
PUBLIC ADMIN 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

TMJA Njombe Branch Strategic Plan for 2026/2027 Meeting

Habari mpya za public admin Tanzania · maelezo ya TMJA Njombe Branch Strategic Plan for 2026/2027 Meeting · masasisho 2027 · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Na ABDALLAH SALUM, Mahakama-Njombe Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) Tawi la Njombe hivi karibuni kilikutana na kufanya kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Tawi hilo, Mhe.
  • Dennis Mujwahuzwi kwa kujumuisha Wanachama kutoka katika Wilaya zote za Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Njombe lengo likiwa ni kujijengea uwezo katika masuala ya kisheria na kupitia Mpango Mkakati wa TMJA kwa mwaka.
  • Victoria Nongwa akizungumza hivi karibuni na Wana Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) Tawi la Njombe (hawapo katika picha) wakati wa kikao hicho.Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo Njombe, Mhe.
  • Obadia Bwegoge akisisitiza jambo kwa Wana Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) Tawi la Njombe wakati wa kikao kilichofanyika hivi karibuni.Naibu Msajili Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo Njombe, Mhe.
  • Aliyesimama na walioketi ni sehemu ya Wajumbe wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) Tawi la Njombe ambao ni Mahakimu kutoka Mahakama zilizopo Njombe.Kikao kikiendelea.(Habari hii imehaririwa na MARY GWERA.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: TMJA Njombe Branch Strategic Plan for 2026/2027 Meeting

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.