Utabiri wa msimu wa Kipupwe uliotolewa Mei 25, 2026 unaonesha kuwa hali ya baridi ya wastani hadi joto kiasi inatarajiwa katika maeneo ya Kanda ya Ziwa Victoria, Kanda ya Magharibi, Kanda ya Kusini, Nyanda za Juu Kusini Magharibi pamoja na Mkoa wa Singida.