Thamani ya meno ya tembo na mifupa ya simba iliyokamatwa
Habari mpya za environment Tanzania · maelezo ya Thamani ya meno ya tembo na mifupa ya simba iliyokamatwa · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Washtakiwa walipanga genge la uhalifu kwa kupokea, kuuza na kusafirisha vipande 166 vya meno ya tembo vyenye thamani ya dola za kimarekani 1,410,000 sawa na Sh3.3 bilioni, mali ya Serikali, bila kuwa na kibali.