Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imesema mafanikio ya sekta hizo yanategemea pia uwepo wa nguvu kazi yenye afya, hivyo imeendelea kusisitiza umuhimu wa kinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ili kulinda maendeleo ya uchumi wa taifa.
TACAIDS: NGUVU KAZI YENYE AFYA NDIYO MSINGI WA UCHUMI IMARA