Support for 100 Women Entrepreneurs through Malkia Program
Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Support for 100 Women Entrepreneurs through Malkia Prog… · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji
Muhtasari
- Lwila amesema katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Benki ya CRDB imetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 700 kwa wanawake kupitia programu mbalimbali za uwezeshaji.
- Hatua hiyo ni baada ya Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Clouds Media Group kuingia ushirikiano mpya kupitia programu ya Malkia wa Nguvu.
- Kwa Upande wake Mwenyekiti wa Jukwaa la Malkia Wa Nguvu Liliane Masuka na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Clouds Media Sheba Kussaga wamesema kupitia programu hiyo itawasaidia wanawake kupata Masoko ya nje na ndani.