Aliongeza kuwa hospitali hiyo pia huwategua wanyama waliokwama kwenye mitego, kuwapatia matibabu na kuwarejesha katika mazingira yao.
Aidha, alisema SUA inamiliki Hospitali ya Rufaa ya Wanyama inayotoa huduma za matibabu kwa wanyama wa kufugwa na wanyamapori. Aliongeza kuwa hospitali hiyo pia huwategua wanyama waliokwama kwenye mitego, kuwapatia matibabu na kuwarejesha katika mazingira yao.
