The veteran musician also stressed the importance of strengthening copyright systems across Africa so that artists can protect their work and secure fair returns from their creative output.
Amesema mjadala mwingine katika jukwaa hilo unahusu namna wasanii na wabunifu wanavyoweza kunufaika na kazi zao hata baada ya kazi hizo kuuzwa kwa mara ya kwanza.