Strengthening Cooperation between Zanzibar and Oman for Historical Heritage Preservation
Habari mpya za culture Tanzania · maelezo ya Strengthening Cooperation between Zanzibar and Oman for… · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Mwinyi ametoa kauli hiyo leo, Agosti 5, 2026, Ikulu Zanzibar, alipokutana na Katibu Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman Jamal bin Hassan Al-Moosawi, katika mazungumzo maalum yaliyohusu ushirikiano wa pande hizo mbili.
- Hussein Ali Mwinyi amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Zanzibar na Oman katika kuhifadhi na kuendeleza urithi wa kihistoria na utamaduni.
- Mwinyi ameipongeza Serikali ya Oman kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar kupitia programu na miradi mbalimbali ya kuhifadhi urithi wa kihistoria na utamaduni.
- Mwinyi ameihakikishia Oman ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika utekelezaji wa programu na miradi ya uhifadhi, usimamizi na uendelezaji wa maeneo ya urithi wa kihistoria na utamaduni.
- SOMA: Dkt Mwinyi akutana ujumbe Oman Zanzibar Pia ameiomba Oman kuendelea kushirikiana na Zanzibar katika kuwajengea uwezo wataalamu wa ndani kupitia mafunzo na matumizi ya mbinu pamoja na teknolojia za kisasa za.