Stanbic Bank's Commitment to Inclusive Economic Growth
Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Stanbic Bank's Commitment to Inclusive Economic Growth · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji
Muhtasari
- Benki ya Stanbic imewahitimisha wajasiriamali 261 kutoka mikoa ya Arusha, Mbeya, Mwanza na Tanga chini ya Programu ya Biashara na Ajira Kijani, inayotekelezwa na Stanbic Biashara Incubator kwa ushirikiano na GIZ kupitia.
- Mollel amesema kuwa,Programu ya Biashara na Ajira Kijani inaakisi dhamira ya Stanbic Bank Tanzania ya kujenga biashara zilizo tayari kupokea uwekezaji, zenye uimara wa kifedha na zilizojiweka katika nafasi ya kukua kwa.
- Kupitia Stanbic Biashara Incubator, Stanbic Bank Tanzania inaendelea kuwekeza kwa wajasiriamali wenye uwezo wa kutengeneza ajira, kuimarisha minyororo ya thamani ya ndani na kupanua upatikanaji wa mitaji rasmi, hatua.