Simenti Bei Yaongezeka Kwa Sh. 3,000 Kila Mfuko Nchini
Habari mpya za construction Tanzania · maelezo ya Simenti Bei Yaongezeka Kwa Sh. 3,000 Kila Mfuko Nchini · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Katika baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa, bidhaa hiyo imeongezeka bei na kuuzwa hadi Sh. 26,000 kwa mfuko wa kilo 50 katika baadhi ya maeneo.Mkoani Tabora, uchunguzi wa waandishi wetu unaonyesha mfuko mmoja wa simenti ya.
- Uchunguzi uliofanywa na waandishi wetu katika mikoa mbalimbali wiki iliyopita umebaini ongezeko la hadi Sh. 3,000 kwa mfuko mmoja.
- Kuna wakati mabosi hawakuniamini, lakini baadaye walielewa kutokana na hali ilivyo," alisema Humud.Mwananchi mwingine, Mwanaidi Rajabu, alisema simenti ilianza kupanda Aprili mwaka huu ambapo mfuko mmoja ulianza kuuzwa.