Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Simba SC's First Loss in 2026 Against Police Kenya on Simba Day

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Simba SC's First Loss in 2026 Against Police Kenya on S… · masasisho 2026 · imesasishwa 8 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • FT: Simba SC 0-1 Police Kenye kilele cha Simba Day, Uwanja wa Uhuru, Agosti 8,2026 Elvis Rupia afunga bao la ushindi dakika ya 90+1 zikisalia dakika 3 mpira kufika tamati Ibrahim Doumbia mshambuliaji wa mabao akwama.
  • Mchezo unaofuata baada ya huu ni Agosti 12, 2026, Yanga SC vs Simba SC, Kariakoo Dabi, Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
  • Simba SC 0-1 Police Kenya kilele cha Simba Day Simba Day Uwaja wa Uhuru Ni Simba SC 0-1 Police Kenya haya ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa kuhitimisha sherehe za miaka 90 ya timu hiyo iliyoanzishwa 1936.
  • Neo maema amerejea kazini, Doumbia akwama Kiungo wa Simba SC, Neo Maema amerejea kazini mara baada ya mkataba wake wa mkopo kuishia.Alirejea Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na Agosti 6 alikuwa sehemu ya kikosi.
  • Matokeo haya ni mchezo wa kwanza kwa mnyama kupoteza 2026.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Simba SC's First Loss in 2026 Against Police Kenya on S…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.