Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Simba SC Initiates Inquiry for Tonny Talasi After Yanga Day Match

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Simba SC Initiates Inquiry for Tonny Talasi After Yanga… · masasisho 2026 · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • Tetesi zinaeleza kuwa Simba SC imeanza mchakato wa kumuulizia kiraka wa Les Aigles du Congo, Tonny Talasi aliyeifunga Yanga SC kwenye mchezo wa Yanga Day, uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Agosti 9,2026.
  • Inaelezwa kuwa mabosi wa Simba SC wapo kwenye hesabu za kusaka mbadala wa Seleman Mwalimu ambaye ametambulishwa katika kikosi cha Yanga SC, Agosti 11,2026 kwa mkopo akitokea Wydad Casablanca ya Morocco.
  • Mchezaji huyo alikuwa kwenye mpango wa Simba SC 2026/27, inatajwa kuwa hawakufikia makubaliano mazuri kwenye upande wa dau jambo lililofanya akakubali kutua Yanga SC, mara baada ya kufikia makubaliano mazuri.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Simba SC Initiates Inquiry for Tonny Talasi After Yanga…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.