Tamasha hilo linakuja siku moja baada ya Simba Day, iliyofanyika jana Agosti 8 katika uwanja huo huo, ambapo mashabiki wa Simba walipata nafasi ya kuwashuhudia wachezaji wapya waliosajiliwa kwa ajili ya msimu wa 2026/27.
Kwa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na Klabu ya Simba kukamilisha tukio hilo jana tarehe 8, Agosti 2026 ni kama wamepiga bao la kusigino kutokana na maelfu ya watu kushiriki na kuridhika kwa mafanikio ya 'Simba Day'.