Mada zilizoorodheshwa
KILIMO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

SELF Microfinance Fund Encourages Youth to Utilize Loans for Value Addition in Agriculture

Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya SELF Microfinance Fund Encourages Youth to Utilize Loan… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao

Muhtasari

  • Na Asha Mwakyonde, DODOMA Mfuko wa SELF Microfinance Fund (SELF MF),umewataka vijana, wajasiriamali, wakulima, wafugaji na wafanyakazi wa taasisi mbalimbali kutumia fursa za mikopo zinazotolewa na mfuko huo ili.
  • Ameongeza kuwa SELF Microfinance Fund inaunga mkono juhudi za matumizi ya nishati safi kwa kufadhili shughuli na biashara zinazochangia utunzaji wa mazingira, huku ikisaidia wananchi kushiriki katika mnyororo mzima wa.
  • Mbali na mikopo, SELF Microfinance Fund pia hutoa elimu ya fedha inayowasaidia wananchi kupanga uwekezaji, kukuza mitaji, kutumia mikopo kwa ufanisi na kuepuka madeni yasiyo ya lazima.
  • SELF Microfinance Fund imewataka wananchi kutembelea banda lao katika Maonesho ya Nanenane ili kupata elimu, ushauri na kufahamu fursa mbalimbali za mikopo na huduma nyingine zinazotolewa kwa ajili ya kukuza uchumi na.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: SELF Microfinance Fund Encourages Youth to Utilize Loan…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.