Mada zilizoorodheshwa
KILIMO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Rijk Zwaan's Educational Efforts to Enhance Market-Oriented Farming

Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Rijk Zwaan's Educational Efforts to Enhance Market-Orie… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao

Muhtasari

  • Akizungumza kwenye maonesho ya Nanenane Dodoma Agosti 3,2026, Mtaalamu Mwandamizi wa Maendeleo ya Bidhaa na Afisa wa Kilimo wa Rijk Zwaan Tanzania, Neiman Mollel, amesema kampuni hiyo inaendelea kutoa elimu kwa wakulima.
  • Na Mwandishi wetu,Dodoma Kampuni ya Rijk Zwaan Tanzania imetumia Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma kuwahamasisha wakulima na vijana kutumia mbegu bora pamoja na teknolojia za kisasa za uzalishaji.
  • Amesema Rijk Zwaan Tanzania kwa sasa inafanya shughuli zake katika mikoa ya Dodoma, Arusha, Morogoro na Mwanza, ambako imeendelea kuwafikia wakulima kwa mafunzo, ushauri wa kitaalamu na huduma zinazowawezesha kuongeza.
  • Kwa upande wake, Mhamasishaji wa Kampuni ya Rijk Zwaan Tanzania, Ray Peter Mark, amewataka wakulima na wananchi wanaotembelea maonesho hayo kufika katika banda la kampuni hiyo ili kujifunza kuhusu mbegu bora, teknolojia.
  • Ameongeza kuwa Rijk Zwaan pia inaendelea kuwaunganisha wakulima na masoko mbalimbali, jambo linalowasaidia kuzalisha kwa kuzingatia mahitaji halisi ya walaji na kuongeza thamani ya mazao yao.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Rijk Zwaan's Educational Efforts to Enhance Market-Orie…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.