Bei za mafuta zinazotumika nchini kuanzia Jumatano, Agosti 5, 2026 zimeshuka kwa shilingi 92 kwa lita ya petroli, shilingi 204 kwa lita ya dizeli na shilingi 440 kwa lita ya mafuta ya taa, hali ambayo itawapa unafuu wa gharama za maisha kwa wananchi, wamiliki wa vyombo vya usafiri, mitambo na viwanda.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta nchini kuanzia leo, Jumatano Agosti 5, 2026.