Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx, Bi. Angelica Pesha, alitunukiwa tuzo ya Female ICT Leadership, inayotambua mchango wa wanawake katika uongozi, ubunifu na maendeleo ya sekta ya TEHAMA nchini.