Recognition of Sustainable Manufacturing Practices in Tanzania
Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Recognition of Sustainable Manufacturing Practices in T… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji
Muhtasari
- Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) limetangaza kuwa Tuzo za Rais za Wazalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA) kwa mara ya 19, jukwaa kubwa zaidi nchini Tanzania kwa kutambua mafanikio ya Viwanda, litafanyika Agosti 24 mwaka.
- Mabalozi sita wa ESG tutakaowatangaza waliainishwa kupitia mchakato huo,” alisema.“Huu ni mwanzo wa njia ya kudumu ya kutambua uzalishaji endelevu viwandani hapa Tanzania, na tunatarajia kushiriki hadithi zao tarehe 24.
- Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CTI, Hussein Sufian alisema Kaulimbiu ya mwaka huu, " Green Elegance — Celebrating Sustainable Manufacturing Practices," inaonesha mabadiliko katika kile ambacho.