Real Madrid Reaches Agreement to Sign Yan Diomande from RB Leipzig for €140M
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Real Madrid Reaches Agreement to Sign Yan Diomande from… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- MADRID, HISPANIA – Miamba ya soka nchini Hispania, Real Madrid, imefikia makubaliano ya kumsajili winga machachari wa RB Leipzig, Yan Diomande, katika dili la kufuru linalokadiriwa kufikia euro milioni 140 (takribani.
- Liverpool na Aston Villa Nazo Zimo Kwenye Windo Wakati Real Madrid ikimalizana na Diomande, miamba ya Uingereza nayo haijakaa kimya: Liverpool: Inaendelea kufuatilia kwa karibu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji kijana.
- Ada hiyo kubwa itamfanya kuingia kwenye orodha ya wachezaji ghali zaidi kuwahi kusajiliwa katika historia ya Real Madrid.
- Diomande amekuwa kwenye rada za mabingwa hao wa Ulaya kufuatia kiwango chake cha kuvutia akiwa na RB Leipzig, ambapo ameonyesta uwezo mkubwa wa: Kasi ya hatari akitokea pembeni Ubunifu wa kutengeneza nafasi za mabao.