kamati ya maandalizi ikipendekeza mbio hizo kuongezwa kutoka kilomita 10 hadi nusu marathon ya kilomita 21 kuanzia mwaka 2027.
Mbio za VG Fun Run 2026 zimefanyika kwa shamrashamra na mwitikio mkubwa wa washiriki, huku mamia ya wakimbiaji na wapenzi wa mazoezi wakijitokeza kushiriki mbio hizo za kilomita 5 na 10... hatua kubwa zaidi mwaka 2027, baada ya Victoria Group (VG) kutangaza mpango wa kuziendeleza kuwa nusu marathon ya kilomita 21.