Mhe. Balozi Omar amesema hayo alipokuwa akizungumza wakati alipotembelea Ofisi za Mkoa za Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Mbeya, wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja mkoani humo.
Mhe. Balozi Omar amesema hayo alipokuwa akizungumza wakati alipotembelea Ofisi za Mkoa za Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Mbeya, wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja mkoani humo. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Mkoa wa Mbeya na maeneo ya Nyanda za Juu Kusini yana fursa kubwa ya kuongeza mchango wake katika uchumi wa Tanzania kwa kuimarisha uzalishaji, kuongeza thamani ya mazao na kukuza shughuli za viwanda.