Washington ikijiandaa kutangaza vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Tehran.
Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, kutangaza kuwa Washington iko tayari kutekeleza hatua kali zaidi za kiuchumi dhidi ya Iran. Bessent amesema Marekani inatarajia kutangaza hatua hizo mpya Jumatatu, Agosti 24, huku akizielezea kama baadhi ya vikwazo vikali zaidi kuwahi kuwekwa dhidi ya Tehran.