THE Minister for Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji, has called on the management and heads of institutions under the Ministry of Natural Resources and Tourism to develop innovative strategies that transform operational challenges in the conservation and tourism sectors into opportunities that promote citizens’ welfare and strengthen the sector’s contribution to Tanzania’s economy.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Ashatu Kijaji, amesema anataka kuona mabadiliko chanya ya kiutendaji mwaka huu kwa manejimenti zake na wakuu wa taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo, katika kushughulikia utatuzi wa kero za wananchi, hasa migongano baina ya binadamu na wanyamapori.