Promotion of Mixx Super App for Ticket Purchases at Nanenane Exhibitions
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Promotion of Mixx Super App for Ticket Purchases at Nan… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Wakulima zaidi ya 1,500 mkoani Morogoro wamenufaika na huduma za kifedha kidijitali zinazotolewa na Mixx by Yas, kupitia malipo ya stakabadhi za ghala pamoja na mikopo nafuu inayopatikana kupitia jukwaa hilo.Akizungumza.
- Kisesa aliwahamasisha wananchi wanaotembelea Maonesho ya Nanenane kwa mkoa wa Morogoro kutumia huduma ya Mixx Super App kununua tiketi za kuingia viwanjani pamoja na tiketi za maegesho ya magari, akibainisha kuwa huduma.