Promotion of Indigenous Food Use to Enhance Sustainable Agriculture in Tanzania
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Promotion of Indigenous Food Use to Enhance Sustainable… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Maadhimisho ya Siku ya Mbegu na Chakula cha Asili yameandaliwa na SWISSAID Tanzania kwa kushirikiana na washirika wake kupitia mradi wa kilimo Ikolojia unaoitwa CROPS4HD.
- Amesema kupitia mradi huo SWISSAID Tanzania na washarika wake wameanzisha benki 15 za mbegu za asili katika Mkoa wa Mtwara na Lindi.