Preparation for the 2026 Agricultural Exhibition and Competitions
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Preparation for the 2026 Agricultural Exhibition and Co… · masasisho 2026 · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Nguvila amebainisha hayo leo Jumamosi Agosti Mosi, 2026 wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya 32 ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na Sherehe za wakulima, Nanenane Kanda ya Kaskazini kwenye Viwanja vya Themi Njiro, Jijini Arusha.
- Nguvila.Kulingana na Katibu Tawala, Zoezi hilo la kuwashindanisha washiriki tayari limefanyika na washindi watatangazwa na kupatiwa zawadi na Mgeni rasmi wa Kilele cha Maadhimisho na sherehe za Nanenane 2026.