Paul Pogba's Injury Concerns Affecting Future at AS Monaco
Latest Tanzania sports news · Paul Pogba's Injury Concerns Affecting Future at AS Mon… explained · updated Aug 12, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- MONACO, Ufaransa — Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa na mshindi wa Kombe la Dunia 2018, Paul Pogba, yuko mbioni kusitisha mkataba wake na klabu ya AS Monaco mapema kuliko ilivyotarajiwa.
- Kutoka Miaka 4 Mpaka Miezi 18 Ikumbukwe kuwa Pogba awali alitakiwa kutumikia adhabu ya kufungiwa soka kwa miaka minne mwaka 2023.
- Pogba (32), alijiunga na Monaco msimu uliopita kwa mkataba wa miaka miwili mara baada ya kurejea uwanjani kufuatia kifungo cha miezi 18 kutokana na matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku michezoni.