Participation of Absa Bank Tanzania in the 32nd Nane Nane Agricultural Exhibition
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Participation of Absa Bank Tanzania in the 32nd Nane Na… · imesasishwa 9 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Daniel Chongolo (Katikati), akipewa maelezo kuhusu huduma mbalimbali za kibenki zinazotolewa na Benki ya Absa Tanzania, alipotembelea banda la benki hiyo, wakati wa maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Wakulima ya Nane Nane.
- Abigail Lukuvi (wa pili kushoto) na baadhi ya wafanyakazi wa Absa tawi la Dodoma, wakipiga picha ya pamoja katika banda lao benki, wakati wa maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Wakulima ya Nane Nane, kwenye Viwanja vya Dk.
- Deogratias Luena (katikati), akitoa maelezo kuhusu huduma za kibenki zinazotolewa na benki hiyo kwa baadhi ya wanafunzi waliotembelea banda la benki hiyo, wakati wa maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Wakulima ya Nane Nane.
- Emmanuel Basharasha, akitoa maelezo kuhusu huduma za kibenki zinazotolewa na benki hiyo kwa baadhi ya watembeleaji katika banda la benki hiyo, wakati wa maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Wakulima ya Nane Nane, kwenye.
- Gabriel Mlaga (kulia), akimpiga picha kwa ajili ya kufungua akaunti mpya ya mmoja ya wateja waliofika katika banda la benki hiyo, wakati wa maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Wakulima ya Nane Nane, kwenye Viwanja vya Dk.