Ongoing Commitment to Quality and Innovation by Serengeti Breweries Limited
Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Ongoing Commitment to Quality and Innovation by Serenge… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji
Muhtasari
- Dar es Salaam-Tanzania, 07 Agosti 2026: Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Bia leo, Serengeti Breweries Limited (SBL) inaungana na maadhimisho hayo kwa namna ya kipekee baada ya bidhaa zake kuthibitika kuwa.
- Mafanikio hayo yamekuja kufuatia Serengeti Lite, Serengeti Lager na Serengeti Lemon kutunukiwa Tuzo za Gold Quality Awards 2026 kutoka taasisi maarufu duniani ya Monde Selection.
- Mbali na bidhaa hizo tatu za bia, chapa ya vinywaji vikali ya kampuni hiyo, TZEE, pia ilitunukiwa Tuzo ya Gold Quality Award 2026.