Ombi la Upande wa Mashtaka Kuisogeza Kesi ya Ugaidi ya CHADEMA
Habari mpya za siasa Tanzania · maelezo ya Ombi la Upande wa Mashtaka Kuisogeza Kesi ya Ugaidi ya… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za siasa · serikali · sera
Muhtasari
- ? Kesi ya ugaidi inayowakabiliviongozi na wanachama 23 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani wa Mwanza, imetajwa tena leo kwa mara ya pili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza iliyopo Kituo.