Nane Nane Agricultural Exhibitions Promote Economic Productivity
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Nane Nane Agricultural Exhibitions Promote Economic Pro… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Na mwandishi wetu, ArushaMKUU wa wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Fakii Lulandala amewasihi wakulima, wafugaji na wavuvi kushiriki maonyesho ya kilimo nane nane ili kuongeza ujuzi na kufanya shughuli zao kwa tija.DC.