Mada zilizoorodheshwa
ELIMU 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Mkakati wa WMA Kuendeleza Klabu za Vipimo kwa Wanafunzi

Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Mkakati wa WMA Kuendeleza Klabu za Vipimo kwa Wanafunzi · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Leo Agosti 7, 2026, Naibu Waziri Londo alishangazwa na ufasaha wa wanafunzi hao walipomweleza umuhimu wa vipimo sahihi, kuandika kwa usahihi vifungashio katika bidhaa zilizofungashwa pamoja na madhara ya lumbesa.
  • Dennis Londo, katika banda la Wakala wa Vipimo (WMA), kwenye Maonesho ya 33 ya Wakulima Nane Nane, Dodoma.
  • Wanafunzi wa Klabu ya Vipimo (Vipimo Club) kutoka Shule ya Msingi Mtemi Mazengo ya jijini Dodoma, wamegeuka walimu kwa siku moja baada ya kumpa elimu ya vipimo Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.
  • Mkakati wa WMA ni kuwajengea wanafunzi uelewa wa vipimo kwa nadharia na vitendo ambapo leo wanafunzi hao wa Klabu ya Vipimo ndiyo walikuwa wakitoa huduma zote bandani ikiwemo kuelimisha, kuonyesha matumizi ya vipimo.
  • Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Wakala wa Vipimo, Francis Olwero amesema WMA imejipanga kikamilifu kuendeleza klabu za vipimo za wanafunzi ili kuwajengea uelewa wa kivipimo na kurahisisha zaidi.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Mkakati wa WMA Kuendeleza Klabu za Vipimo kwa Wanafunzi

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.