Mhe. Rosemary Senyamule, tarehe 7 Agosti 2026, ametembelea baadhi ya mabanda katika maonesho ya kilimo, mifugo na uvuvi, na kuwataka wananchi kuwekeza zaidi katika kilimo kinachozingatia teknolojia, utaalamu na kanuni bora za uzalishaji ili kuongeza tija na thamani ya mazao.
Hon. Senyamule made the call on August 7, 2026, during her visit to various exhibition pavilions at the Nanenane Agricultural Exhibition, where she interacted with farmers, livestock keepers and other stakeholders showcasing technologies, innovations and investment opportunities in the agriculture, livestock and fisheries sectors.