Lakini kwa mashabiki wa Meridianbet, usiku huu una maana nyingine kubwa zaidi kwa sababu unaenda sambamba na maadhimisho ya miaka 25 ya kampuni hiyo katika sekta ya ubashiri wa michezo.
Ndiyo maana maadhimisho ya miaka 25 yanafanyika kwa namna ya kipekee kupitia udhamini rasmi wa UFC Fight Night Belgrade.