Mada zilizoorodheshwa
CIVIL SOCIETY 2 nukuu · 2 makala · 2 vyanzo

Maryprisca Mahundi's Commitment to Women's Empowerment in Mbeya

Habari mpya za civil society Tanzania · maelezo ya Maryprisca Mahundi's Commitment to Women's Empowerment… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Mwenyekiti wa Jumuiya ya wanawake CCM -UWT Taifa Mary Chatanda ametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake UWT Mkoa wa Mbeya wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Mil 80.
  • Nyumba hiyo ya Katibu wa Jumuiya ya wanawake CCM -UWT imejengwa na Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Mbeya Mhandisi Maryprisca Winfrid Mahundi kwa ushirikiano wa baadhi ya wadau na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Maryprisca.
  • Alisema kuwa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya wamemfanyia jambo kubwa hivyo hiyo kwake ni sehemu ya sadaka na kurejesha shukrani kwa jamii ya wanawake Mkoa wa Mbeya.
  • Mimi kwa binafsi niliamua kujivisha hili bomu pekee yangu kwa kushirikiana na marafiki zangu na Taasisi yangu ya Maryprisca Woman Empowerment Foundation MWEF,kuacha alama na sadaka yangu kwa Wanawake Mkoa wa.
  • Akipokea taarifa hiyo Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wanawake Taifa Mheshimiwa Mary Chatanda amesema kwa upande amemshukuru Mheshimiwa Maryprisca Winfrid Mahundi kwa kujitoa kwake kwa hali na mali kukamilisha mradi huo jambo.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Maryprisca Mahundi's Commitment to Women's Empowerment…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.