Pia, vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana bayana yakionesha bei za mafuta, punguzo na vivutio vya kibiashara vinavyotolewa na kituo husika.
Bw. Mnuna amevitaka vituo vyote vya mafuta kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana bayana yakionesha bei husika, punguzo, na vivutio vya kibiashara vinavyotolewa na kituo husika cha mafuta sanjari na kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa na EWURA.